Afariki ajali ya moto akijaribu kuuzima shambani
Morogoro. Mratibu wa Elimu, Kata ya Tomondo aliyetambuliwa kwa jina la Mwenge Mnune, amefariki dunia baada ya kuungua kwa moto shambani kwake , wakati akijaribu kuuzima moto huo alioukuta ukiteketeza mazao kwenye shamba hilo. Tukio hilo linadaiwa kutokea Agosti 21, 2024 katika kitongoji cha Banzayage kilichopo katika kata ya Kiroka, mkoani Morogoro ambapo Mnuna na…