Tuzo yampa jeuri  Mpole | Mwanaspoti

MSHAMBULIAJI wa Pamba Jiji, George Mpole amefunguka kwa mara ya kwanza tangu arejee Ligi Kuu Bara akijiunga na timu hiyo ya Mwanza, akisema tuzo ya Nyota wa Mchezo dhidi ya Dodoma Jiji ni mwanzo wa kazi kubwa aliyojipanga kuifanya msimu huu, licha ya kukataa kujitabiria ufungaji Bora. Mpole aliyekosa mechi ya kwanza ya msimu huu…

Read More

Kocha Mbelgiji akiri Yanga imepata jembe!

KIKOSI cha Yanga inaendelea kusukwa kwa mashine mpya zikitambulishwa sambamba na wale waliokuwapo katika kikosi cha msimu uliopita wakiongezewa mikataba kama alivyofanyiwa Danis Nkane, Mudathir Yahya na Pacome Zouzoua, lakini kuna mido mmoja aliyetua ghafla Jangwani. Ndio, Yanga imeshakamilisha dili la kiungo Lassine Kouma ambaye wakati wowote kuanzia leo ataanza safari ya kuja nchini kufanyiwa…

Read More

TFS Yawapandisha Vyeo Makamanda Watatu, Yaongeza Nguvu Katika Usimamizi wa Misitu

Na Mwandishi Wetu, Morogoro. Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umeimarisha safu yake ya uongozi baada ya Kamishna wa Uhifadhi, Prof. Dos Santos Silayo, kuwapandisha vyeo watumishi watatu walioteuliwa kuwa Makamishna Wasaidizi, kutokana na mchango wao katika kulinda na kusimamia rasilimali za misitu nchini. Walioinuliwa ni Mathew Ntilicha, aliyekuwa Kaimu Kamanda wa TFS Kanda…

Read More

MCT YAVITAKA VYOMBO VYA HABARI NCHINI KUANZISHA MADAWATI YA USHAURI WA KISHERIA.

Na Vero Ignatus Arusha. Vyombo vya habari nchini vimetakiwa kuanzisha  na kuendeleza madawati ya sheria,yatakayo wasaidia kuwaondoa waandishi wa habari kuingia katika makosa ya kisheria kuelekea uchaguzi mkuu ujao. Rai hiyo imetolewa leo Agosti 20,2025 Kijijini Arusha na Katibu mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania Ernest Sungura,katika mafunzo na msaada wa kisheria kwa waandishi wa…

Read More

NSSF YATOA SEMINA KWA WAAJIRI WA SEKTA BINAFSI UBUNGO

Na MWANDISHI WETU. Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umetoa semina kwa waajiri wa sekta binafsi wanaohudumiwa na Ofisi ya NSSF Mkoa wa Ubungo, Dar es Salaam. Semina hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki katika Ofisi za NSSF Ubungo ikiwa na lengo la kuwakumbusha waajiri majukumu yao yakiwemo kusajili wafanyakazi wao na kuwasilisha michango…

Read More