Foleni yatikisa Dodoma miaka 48 ya CCM
Dodoma. Ikiwa leo ni maadhimisho ya miaka 48 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mji wa Dodoma umekuwa na msongamano mkubwa wa magari kutokana na barabara zinazopita kwenye uwanja wa Jamhuri yanapofanyika maadhimisho hayo kuwa na msongamano wa watu na magari hivyo kusababisha foleni kubwa. Mwananchi Digital imeshuhudia leo Jumatano Februari 5, 2025 msongamano…