Ligi Bara yambeba kipa Mkongomani

ALIYEKUWA kipa wa Dodoma Jiji, Mkongomani Alain Ngeleka, amesema Ligi Kuu Bara imempa fursa ya kuonekana zaidi baada ya nyota huyo kukamilisha uhamisho wa kujiunga na kikosi cha Bandari ya Kenya kwa ajili ya kukitumikia msimu wa 2025-2026. Akizungumza na Mwanaspoti, Ngeleka alisema kucheza kwa muda mrefu katika Ligi Kuu Bara kumechangia kupata nafasi hiyo…

Read More

MBETO AMVAA OMO AKIMTAKA AACHE MAKELELE YAKE

 :::::::: Na Mwandishi Wetu, Zanzibar  Chama Cha Mapinduzi kimesema kwa mujibu wa Sheria hakuna chama chochote cha Siasa ,Vyombo vya habari au Taasisi yoyote yenye Mamlaka ya kutangaza matokeo ya Uchaguzi bila idhini ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC). Pia chama hicho kimesisitiza kuwa Uchaguzi katika nchi yoyote duniani , huongozwa kwa kanuni na taratibu…

Read More

Taifa yaimba na Mbosso | Mwanaspoti

Ni burudani tu ndani ya Uwanja wa Mkapa katika Simba Day, ambapo mashabiki wa Simba wameimba pamoja na msanii Mbosso. Mbosso ambaye ameanza kwa kuimba wimbo wake mpya wa Selemani kabla ya kuimba vigongo vyake kadhaa amewateka zaidi mashabiki kwa kuimba nao ‘live’ wimbo wake wa ‘Haijakaa sawa’ ambao aliutoa wakati yupo chini ya lebo ya…

Read More

Kihongosi aonya viongozi wanaodhulumu wananchi

Itilima. Mwananchi wa Kijiji cha Lagangabilili wilayani Itilima, mkoani Simiyu, Mzee Majija Madata amewasilisha malalamiko kwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, akidai kudhulumiwa shamba lake na mmoja wa viongozi wa CCM katika ngazi ya wilaya mkoani Shinyanga. Kihongosi yupo mkoani Simiyu tangu Machi 7, 2026 kwa ziara…

Read More

Siku tatu ngumu za Sowah Simba

NI takribani wiki moja imepita tangu taarifa za mshambuliaji wa Simba, Jonathan Sowah ziripotiwe huku ikielezwa amesimamishwa kutokana na madai ya utovu wa nidhamu. Wakati muda huo ukipita huku kukiwa na ukimya kidogo, mapya yameibuka na kuelezwa uongozi wa klabu hiyo umempa siku…

Read More