Anayedaiwa kutapeli watalii kupitia mitandao atiwa mbaroni 

Moshi. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia mkazi wa KDC, Kata ya Mbokomu, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, Musa Mushi (40), kwa tuhuma za kujihusisha na udanganyifu wa kutapeli watalii wanaoingia nchini wakiwamo wanaokuja kutalii kwenye Mlima Kilimanjaro. Taarifa ya kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo, imetolewa leo Machi 12, 2026 na Kamanda wa Polisi  Mkoa…

Read More

Macho yote kwa Vicky michuano ya NCBA

VIWANJA vya Gofu vya Muthaiga vilivyopo jijini Nairobi, Kenya ndivyo vitaamua nani anastahili kuutwaa ubingwa wa Afrika Mashariki wa NCBA baada ya kutamatika kwa mashimo 18 majuma machache yajayo. Tanzania, tayari imeshapata washiriki wakiongozwa na Malkia wa Swing, Vicky Elias kutoka jijini Dar es Salaam. Vicky pamoja na Madina Idd na Neema Olomi wa Arusha…

Read More

MAELFU WAJITOKEZA UZINDUZI KAMPENI JIMBO LA ITWANGI

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Itwangi CCM Azza Hillal Hamad akinadi sera kwa wananchi.Wananchi wakiwa kwenye uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu Jimbo la Itwangi mkoani Shinyanga Mgombea Ubunge wa Jimbo la Itwangi CCM Azza Hillal Hamad akinadi sera kwa wananchi, kulia ni Mgeni rasmi Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (MNEC) Munde Tambwe Na…

Read More

OKASH AANZISHA MFUMO WA KUSIKILIZA KERO KIDIGITALI

Na Mwandishi wetu OFISI ya Mkuu wa Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma imezindua mfumo wa kusikiliza kero za wananchi kidigitali kupitia namba maalumu WhatsApp ijulikanayo kama Chemba konektedi. Kupitia namba hiyo maalum ya 0771400500 itakayotumika kwa mfumo wa WhatsApp wananchi wataweza kuwasilisha kero na changamoto zao moja kwa moja bila kutumia muda, nauli kwa kusafiri…

Read More

Bado Watatu – 7 | Mwanaspoti

“MUME wako anaitwa nani?” “Anaitwa Omar Kikasha.” “Hakuna mtu mwingine anayeishi katika nyumba hii anayetumia jina hili?” Nilianza kutomuamini mwanamke huyo kwa kuhisi alikuwa anatuficha. Tabia ya binaadamu akishaona mtu anaulizwa na polisi hata kama hajui amefanya kosa au la, anamficha. Sijui ni kwanini? “Mume wako yuko wapi?” nikamuuliza. “Anafanya kazi wapi?” “Mume wangu ni…

Read More

Wanawake waongoza mikopo kidijitali | Mwananchi

Dar es Salaam. Kwa mara ya kwanza nchini, wanawake wanamiliki akaunti za mikopo ya kidijitali nyingi zaidi kuliko wanaume, jambo linalowafanya kuwa wakopaji wakuu katika sekta ya teknolojia ya fedha inayokua kwa kasi. Takwimu mpya kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Ofisi za Taarifa za Wakopaji (Credit Reference Bureaus) zinaonesha idadi ya akaunti za…

Read More

Kipa Singida BS afutiwa tuhuma za upangaji matokeo

ZIKIWA zimepita siku mbili baada ya Singida Black Stars kumfutia adhabu kiungo Khalid Aucho ya kumsimamisha kwa miezi mitatu kutokana na utovu wa nidhamu na utoro kazini, pia imefanya hivyo kwa kipa Amas Obasogie aliyekuwa akituhumiwa na ishu ya upangaji matokeo. Hatua hiyo inakuja baada ya Februari 27, 2026, taarifa ya Singida Black Stars iliyotolewa…

Read More