Wapatiwa ‘nyenzo’ kukabili mabadiliko ya tabianchi

Njombe. Wananchi wa vijiji saba wilayani Wanging’ombe mkoani Njombe, wamepatiwa miche 700 ya miti kwa lengo la kuwasaidia kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi, hali inayotajwa kuathiri uzalishaji wa mazao na kupunguza tija kwa wakulima wa eneo hilo. Mabadiliko ya tabianchi yameelezwa kuwa chanzo cha ardhi kupoteza rutuba, jambo linalowalazimu wakulima kutumia kiasi kikubwa…

Read More

Gwiji Simba ampa ujanja Yakoub Suleiman

ENDAPO kama kipa wa Simba, Yakoub Suleiman atazingatia ushauri wa mkongwe katika nafasi hiyo, kocha Idd Pazi ‘Father’ basi huenda akairejesha Tanzania One baada ya Aishi Manula kusajiliwa Azam FC. Pazi aliwahi kuwa kipa Tanzania One enzi akiwa Simba alisema, kipa huyo mpya wa Simba aliyetua kutoka JKT Tanzania anatakiwa kuzingatia mazoezi ya timu na …

Read More

Albania yateua waziri roboti wa kupambana na ufisadi

Tirana. Albania imeweka rekodi ya dunia kwa kuwa nchi ya kwanza kuteua waziri aliyeundwa kwa akili bandia (AI), siyo waziri wa teknolojia ya AI, bali waziri halisi wa kidijitali, aliyeundwa kwa misimbo na kuendeshwa na mfumo wa kisasa wa akili bandia. Jina lake ni Diella, linalomaanisha ‘mwanga wa jua’ kwa Kialbania ndilo jina la roboti,…

Read More

Sababu Tanzania kuendelea kukumbwa na uhaba wa maji

Dar es Salaam. Wakati Tanzania ikiungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Maji Duniani leo Machi 22, 2026, wadau wa maendeleo na mazingira wameainisha sababu kadhaa zinazoendelea kuchangia uhaba wa maji nchini, huku upotevu wake ukitajwa kuwa miongoni mwa changamoto kubwa. Mbali na upotevu huo, wadau wameeleza kuwa usambazaji duni wa maji, ukosefu wa…

Read More

Mayanga ageukia mastraika Mashujaa FC

KOCHA mkuu wa Mashujaa, Salum Mayanga amesema ana kazi kubwa ya kufanya kwenye safu yake ya ushambuliaji kuhakikisha wanatumia kila nafasi wanayotengeneza huku akiweka wazi kuwa ligi ya msimu huu ni pasua kichwa. Mayanga amefunguka hayo baada ya kukusanya pointi nne kwenye mechi mbili walizocheza akianza na sare dhidi ya JKT Tanzania ya bao 1-1…

Read More

Gombo amwaga sera Shinyanga amtaja Mpina, Lissu

Shinyanga. Mgombea urais kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Gombo Samandito Gombo, ameahidi kufuta gharama za matibabu, elimu hadi chuo kikuu, pamoja na mikopo ya watumishi wa umma mara tu atakapochaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Akizungumza leo, Septemba 4, 2025, wakati wa kampeni za kuomba kura kwa wananchi zilizofanyika katika Stendi ya…

Read More