CEO KMC ang’oka, mrithi wake aanza kusakwa

MABOSI wa KMC wako katika mchakato wa kutafuta ofisa mtendaji mkuu mpya (CEO), baada ya Daniel Mwakasungula, aliyekuwa anashikilia nafasi hiyo kumaliza mkataba, huku kukiwa hakuna mazungumzo mapya ya kuongeza mwingine kikosini humo. Licha ya uongozi wa KMC kutoweka wazi juu ya suala hilo, lakini Mwanaspoti linatambua Mwakasungula amemaliza mkataba wake na kikosi hicho, hivyo…

Read More

Macron na Scholz wazungumzia mzozo wa Ukraine – DW – 29.05.2024

Suala kubwa ambalo lilitawala mazungumzo kati ya Scholz na Macron ni vita vinavyoendekea nchini Ukraine. Scholz alisema wanataka kuendelea kuisadia Ukraine kisiasa, kifedha, kijeshi na kwa kuipa misaada ya kibinadamu. Alisema Uhispania tayari imeshaahidi kutoa msaada na kwamba yeye na Macron wamekubaliana ni lazima wachukue hatua inayofuata kuimarisha msaada huu katika ngazi nyingine mpya. Scholz alisema…

Read More

WAZIRI MKUU MGENI RASMI KILELE MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA TET

………….. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 17, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 50 ya Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) yanayofanyika katika viwanja vya Taasisi hiyo, Bamaga Jijini Dar es Salaam. kaulimbiu ya maadhimisho ni _Kitabu Kimoja Mwanafunzi Mmoja, Mpe Kitabu Gusa Ndoto_ .Kaulimbiu hiyo inaunga mkono…

Read More

Miji hii kwa kunguni usipime

Washington. Wakati msimu wa kiangazi ukikaribia kuanza katika mataifa ya Amerika na Ulaya, taasisi ya Terminix inayojihusisha na kupambana na wadudu nchini Marekani limeanika majiji kinara kwa uwepo wa Kunguni. Kunguni ni mdudu mdogo anayesifika kutokana na usumbufu wake kwa binadamu hususan kutokana na tabia yake ya kung’ata, kuwa kero wakati wa kulala na kusambaa…

Read More

RC ARUSHA AWATAKA POLISI KUTOGEUZA BODABODA CHANZO CHA MAPATO

Na Seif Mangwangi, Arusha MKUU wa Mkoa wa Arusha Kenan Kihongosi ametoa siku tatu kwa madereva wa bodaboda Mkoa wa Arusha kuondoa kelele maarufu kama ‘Mafataki’ kwenye pikipiki zao kwa kuwa zimekuwa zikisababisha maradhi na kustua wagonjwa. Aidha Kihongosi amewataka Askari wa usalama barabarani Mkoani humo kutowageuza madereva wa bodaboda kama chanzo cha mapato kwa…

Read More

Hamdi anavyotembelea nyayo za Ramovic Yanga

USHINDI wa Yanga wa mabao 5-0, ilioupata juzi dhidi ya Mashujaa, umemfanya kocha wa timu hiyo, Miloud Hamdi kutembelea nyayo za mtangulizi wake, Sead Ramovic aliyeondoka na kutimkia CR Belouizdad ya Algeria, kutokana na rekodi zao za sasa. Hamdi alijiunga na Yanga Februari 4, mwaka huu kuchukua nafasi ya Ramovic na tangu ajiunge na kikosi…

Read More