Wazee miaka 60 kupamba bonanza la michezo MZRH

HOSPITALI ya Rufaa Kanda ya Mbeya (MZRH) imeandaa bonanza la michezo mbalimbali itakayopambwa na wazee wenye umri wa miaka 60  kufukuza kuku na kuvuta kamba. Bonanza hilo linatarajiwa kufanyika Novemba 9 mwaka huu kwenye Viwanja vya Chuo cha Uhasibu (TIA) ikiwa ni kuadhimisha wiki ya upimaji wa  magonjwa yasiyoambukizwa. Katibu wa mashindano hayo, Joyce Komba…

Read More

TUMIENI MFUMO WA e-MREJESHO KUWASILISHA KERO ZENU SERIKALINI: e-GA

Na Mwandishi wetu Dodoma WANANCHI wametakiwa kutumia mfumo wa kupokea maoni, malalamiko au pongezi Serikalini (e-Mrejesho), ili kuwasilisha maoni yao na Serikali iweze kuyafanyia kazi kwa wakati. Wito huo umetolewa leo na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) Mhandisi Benedict Ndomba, wakati akizungumza na waandishi wa Habari katika ofisi za Mamlaka jijini Dodoma. Ndomba…

Read More

Mzungu wa Yanga kuanzia hapa

PRESHA kubwa ya Yanga ilikuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam kusaka tiketi ya kutua makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Silver Strikers, lakini kocha wao Mzungu ametua mjini Morogoro kwa mambo mengine. Kocha aliyetua Morogoro ni Paul Mathew ambaye ni Mkurugenzi wa Ufundi wa Yanga, ameanza ziara ya mikoani akitafuta…

Read More

Chadema yataja mkakati wake mpya

Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema operesheni ya kunadi ajenda ya No reforms, no election kwa wananchi itaendelea kama kawaida. Chadema imesema lengo ni kufikisha ujumbe wa kuishinikiza Serikali kufanya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi. Imesema kwa sasa inapitia upya ratiba ya mchakato kupitia kikao cha sekretarieti kinachoketi leo Ijumaa Aprili…

Read More