Migogoro ya ardhi yatikisa kliniki ya kusikiliza kero Shinyanga
Shinyanga. Zaidi ya wananchi 200 wa Tarafa ya Mjini, Manispaa ya Shinyanga, wametoa kero zao kupitia kliniki ya kusikiliza kero na migogoro iliyofanyika wilayani Shinyanga ikilenga kupunguza changamoto hizo. Wakizungumza katika kliniki ya kusikiliza kero na migogoro ya wananchi iliyoanza jana na leo Februari 27, 2026, kwenye Viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya…