KUTOKA SERA HADI VITENDO: SERIKALI ZA MITAA ZAKUMBATIA MALEZI YENYE UWANJILISHI

Denis Mguye, Afisa Ustawi wa Jamii wa Mkoa wa Arusha na Mratibu wa Malezi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto (ECD), ameona mabadiliko makubwa yakichukua nafasi—mabadiliko yanayobadilisha familia na mustakabali wa jamii katika Mkoa wa Arusha. “Wanaume sasa wanasimama bega kwa bega na wake zao kliniki—jambo ambalo halikuwazwa kutokea hata miaka michache iliyopita,” anasema. Ni…

Read More

MAANDALIZI YA SIKU YA KISWAHILI COMORO YAIVA

Balozi wa Tanzania nchini Comoro,Saidi Yakubu amewahimiza wapenzi wa lugha ya Kiswahili nchini Comoro kujitokeza kwa wingi Siku ya Jumapili ili kukienzi Kiswahili katika Hafla Rasmi waliyoandaa kwenye Ukumbi wa Bunge mjini Moroni. Balozi Yakubu aliwaeleza waandishi wa habari kuwa maandalizi yote ya Maadhimisho hayo yamekamilika ambapo Gavana wa Kisiwa cha Ngazidja yalipo makao makuu…

Read More

Hiki hapa chanzo cha ufaulu wa wanafunzi Ludewa

Njombe. Motisha kwa walimu imeelezwa kuwa chanzo cha Wilaya ya Ludewa kufanya kuongoza kwenye ufaulu wa wanafunzi matokeo ya mtihani wa taifa kidato cha sita na kushika nafasi ya kwanza kimkoa kati ya wilaya zote za Mkoa wa Njombe. Hayo yamesemwa leo Agosti 23, 2025 na Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Ludewa Sunday Deogratias wakati wa…

Read More

Kampuni ya CCCC kuimarisha ushirikiano na vyombo vya habari

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Kampuni ya Ujenzi na Mawasiliano ya China (CCCC) tawi la Tanzania imesema itaendelea kuimarisha ushirikiano na vyombo vya habari ili kufanikisha utekelezwaji wa shughuli mbalimbali inazozifanya nchini kwa manufaa ya taifa. Akizungumza wakati wa majadiliano kuhusu tathmini ya utendaji wa shughuli za kampuni hiyo, Kiongozi wa CCCC Tawi la Tanzania,…

Read More

Mkuu wa Wilaya Serengeti akutana na wazee

Na Malima Lubasha, Serengeti Mkuu wa Wilaya ya Serengeti mkoani Mara,Kemirembe Lwota,amekutana na wazee kwa lengo la kusikiliza changamoto mbalimbali zinazowakabili pamoja na kujadili maendeleo ya miradi inayotekelezwa akiwataka kuendelea kuhimiza, kudumisha na kuilinda amani wilayani kukemea vitendo vya ukatili katika jamii. Lwota amefanya kikao jana Septemba 19,2024 katika Ukumbi wa CCM Wilaya ikiwa ni…

Read More

WAZIRI MKUU ASHIRIKI MBIO ZA MBEYA TULIA MARATHON 2024

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 11, 2024 ameshiriki katika tukio la mbio za Mbeya Tulia Marathoni 2024 zilizoandaliwa na Taasisi Isiyo ya Kiserikali ya Tulia Trust. Mbio hizo zilianzia na kuishia kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya Mei 11, 2024. Baadhi ya viongozi walioshiriki mbio hizo ni Mke wa Waziri Mkuu Mary Majaliwa, Spika…

Read More