Stand United yaja na tamasha kusaka mdhamini

Tamasha la Siku ya Wana linatarajiwa kufanyika 0ktoba 04, 2025 likiambatana na michezo mbalimbali, ikiwemo mechi nne za mwanzo huku Stand United ikikabiliana na timu ya Ligi Kuu Bara itakayotajwa hapo baadaye. Akizungumza na vyombo vya habari leo Septemba 25, 2025, mwenyekiti wa tamasha hilo, Chrispin Kakwaya, amesema: “Timu ya Stand United inaadhimisha Tamasha la…

Read More

BDL Ngoma ngumu, Dar City ikishinda jiooni

NUSU fainali ya Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), imeanza na moto huku timu zilizoshinda zikifanya hivyo kwa mbinde kutokana na ushindani uliopo ambao umeyanfanya mashindano hayo mwaka huu kuwa ya aina yake. Tofauti na miaka michache ya karibuni iliyopita ambapo ligi hiyo haikuwa na ushindani mkali kutokana na kutokuwa na uwekezaji…

Read More

Mtibwa hali mbaya, yapigwa tena Chamazi

NINI kimeikuta Mtibwa Sugar? Ni swali unaloweza kujiuliza kufuatia timu hiyo kupoteza mechi tatu mfululizo za Ligi Kuu Bara chini ya Kocha Yusuf Chipo. Chipo ambaye alitambulishwa Novemba 17, 2025 kuifundisha Mtibwa Sugar baada ya aliyeipandisha daraja timu hiyo, Awadh Juma kukosa vigezo vya kuwa kocha mkuu, alikuwa na mwendo mzuri mwanzoni katika mechi nane…

Read More

Huyu ndiye Mojtaba Khamenei, Kiongozi mpya wa Iran

Dar es Salaam. Kifo cha kiongozi mkuu wa Iran, Ali Khamenei, kilichotokea Februari 28, 2026, wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhan, kinaashiria moja ya mabadiliko makubwa zaidi katika historia ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Mrithi wake, mwanaye, Mojtaba Khamenei, anawakilisha kwa wakati mmoja mwendelezo na pia mkanganyiko ndani ya mfumo wa mapinduzi ulioanzishwa baada…

Read More

Kipa Mlandege aja na mawili ZPL

KIPA wa Mlandege ambayo ni bingwa mtetezi wa Ligi Kuu Zanzibar, Hamad Ubwa ‘Baro’ amesema ana kibarua cha kutetea ubingwa na timu hiyo na kuwa kipa bora wa msimu. Pia, Baro amesema ana mkakati wa kuhakikisha anakuwa kipa bora kwenye msimu huu wa 2025-2026. Matumaini ya Mlandege kutetea ubingwa huo yapo katika mechi 10 zilizobaki…

Read More

Mfiduo dhidi ya Unyonyaji – Masuala ya Ulimwenguni

Credit: Umoja wa Mataifa Maoni na Bisma Qamar (new york) Jumatano, Machi 11, 2026 Inter Press Service NEW YORK, Machi 11 (IPS) – Mara nyingi nimeulizwa swali rahisi lakini muhimu: Je, tunawezaje kuifanya iwe endelevu ikiwa hatujafidiwa kwayo? Swali hilo linakaa katika kiini cha mazungumzo ambayo hatuzungumzi vya kutosha. Mahali fulani kati ya mfiduo na…

Read More

Wasira: Mtuamini tuendelee kuwaletea maendeleo

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema chama hicho kinafanya kazi kubwa ya kuleta mabadiliko ili kuwaletea maendeleo wananchi.Aidha, amesisitiza wananchi waendelee kukiamini na kukipa nafasi kiendelee kudumisha amani kwa kuwa maendeleo hayatapatikana iwapo itatoweka.Wasira ameeleza hayo alipokuwa akizungumza na viongozi na wanachama wa CCM kutoka Jimbo la Mbeya, akiwa…

Read More

Rais Samia mgeni rasmi Baraza la Eid

Dar/Geita. Waislamu nchini na duniani kote kesho wataadhimisha Sikukuu ya Eid El-Fitri, huku Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) likisema Rais, Samia Suluhu Hassan atakuwa mgeni rasmi katika Baraza la Eid litakalofanyika kitaifa jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa awali na Katibu Mkuu wa Bakwata, Alhaj Nuhu Mruma, sherehe hizo zitafanyika katika…

Read More

Rais CAF aitaja Yanga, ishu ya Senegal 

Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe amekumbushia bao walilofunga Yanga kwenye mchezo dhidi ya Mamelodi wakati akitangaza mabadiliko na maboresho katika Katiba na Kanuni zake yatakayoongeza imani na uwazi kwa waamuzi, wasimamizi wa VAR pamoja na vyombo vya kimaamuzi vya shirikisho hilo. Motsepe amewataja mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Bara katika…

Read More

Peramiho kesho kuamua mrithi wa Jenista Mhagama

Ruvuma. Jumla ya wapigakura 127,632 walioandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, wanatarajiwa kushiriki katika uchaguzi utakaofanyika kesho Februari 26, 2026 kwa ajili ya kumchagua mbunge wa Jimbo la Peramiho na diwani wa Kata ya Shiwinga. Uchaguzi wa Peramiho unafanyika kutokana na kifo cha aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Jenista Mhagama (CCM) aliyefariki dunia…

Read More