Albania yateua waziri roboti wa kupambana na ufisadi

Tirana. Albania imeweka rekodi ya dunia kwa kuwa nchi ya kwanza kuteua waziri aliyeundwa kwa akili bandia (AI), siyo waziri wa teknolojia ya AI, bali waziri halisi wa kidijitali, aliyeundwa kwa misimbo na kuendeshwa na mfumo wa kisasa wa akili bandia. Jina lake ni Diella, linalomaanisha ‘mwanga wa jua’ kwa Kialbania ndilo jina la roboti,…

Read More

Kisa Mayele, Dube aingia anga za Wasauzi

UONGOZI wa Kaizer Chiefs ya Afrika ya Kusini, umeanza kumfuatilia mshambuliaji nyota wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga, Mzimbabwe, Prince Dube, ambaye mkataba wake na kikosi hicho unafikia tamati mwishoni mwa msimu huu. Taarifa kutoka Afrika Kusini zinaeleza kuwa mabosi wa timu hiyo wanaangalia uwezekano wa kumpata mshambuliaji huyo, baada ya kupata ugumu…

Read More

Watupwa jela wakituhumiwa kupanga kumuua rais kichawi

Lusaka. Mahakama kuu nchini Zambia imewahukumu wanaume wawili kifungo cha miaka miwili na miezi sita jela baada ya kuwakuta na tuhuma za kujaribu kumuua Rais wa taifa hilo Hakainde Hichilema kwa kutumia uchawi. Imeelezwa kuwa watuhumiwa hao Leonard Phiri na Jasten Mabulesse Candunde walitiwa hatiani chini ya Sheria ya Uchawi baada ya kukamatwa Desemba wakiwa na…

Read More

Sh3 milioni zamweka matatani Mtendaji wa kijiji Simanjiro

Simanjiro. Ofisa Mtendaji wa Kijiji cha Ruvu Remit wilayani Simanjiro mkoani Manyara, Godbles Mollel amefikishwa mahakamani kwa kosa la rushwa kwa kutumia Sh3.3 milioni isivyo halali. Mollel amesomewa shitaka hilo la uhujumu uchumi leo Septemba 17, 2025 mbele ya hakimu mkazi mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Onesimo Nicodemo. Mwendesha mashtaka wa…

Read More

Kwa Yanga hii Folz anatamba nje, ndani

WANAYANGA wanaweza kutembea kifua mbele wakati msimu wa 2025-2026 ukikaribia kuanza kwani uongozi wa klabu hiyo umefanya uwekezaji mzuri katika kujenga kikosi imara. Ukiangalia katika usajili wa dirisha kubwa uliofungwa Septemba 7, 2025, kuna nyota wapya 11 wamesajiliwa na mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Bara, Kombe la FA na Ngao ya Jamii. Nyota hao…

Read More

NRA yaahidi mashine za EFD bure kwa wafanyabiashara

Tabora. Mgombea urais wa Tanzania kwa tiketiya Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA), Almas Kisabya, amesema endapo atapata ridhaa ya kuliongoza Taifa, ndani ya siku 30 baada ya kuunda Baraza la Mawaziri, kipaumbele chake kitakuwa kuhakikisha mashine za kukusanyia mapato (EFD) zinatolewa bure kwa wafanyabiashara wote nchini. Kisabya amesema hayo leo Jumapili, Septemba 7, 2025,…

Read More