Wabunifu wahimizwa kuja na teknolojia zitakazochochea matumizi bora ya nishati
Dar es Salaam. Wabunifu nchini wamehimizwa kuja na teknolojia zitakazochochea matumizi bora na sahihi ya nishati, ili kusaidia kupunguza upotevu na kuongeza ufanisi wa matumizi yake. Wito huo umetolewa leo, Septemba 12, 2025, katika hafla ya kuwapongeza washindi 10 wa shindano la ‘Energy Efficiency Innovation Challenge,’ linalolenga kuwahamasisha vijana wabunifu kuibua suluhisho za kiteknolojia kwa…