Dk Mpango awataka viongozi wa dini kutetea ukweli bila woga

Dodoma.Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango  amewataka viongozi wa dini, kuishi wito wao wa kinabii, kusema na kuutetea ukweli kwa ajili ya maslahi ya wananchi hasa wanyonge na wafanye hivyo kwa uhuru bila woga.  Ameyasema haya leo Jumapili Mei 12, 2024, jijini Dodoma  kwenye Misa Takatifu ya kuwekwa wakfu kwa Askofu Msaidizi Wilbroad Kibozi iliyofanyika Kituo…

Read More

Kibwana bado yupo yupo sana

UONGOZI wa klabu ya Yanga, umemuongeza mkataba wa miaka miwili beki wao wa kulia, Kibwana Shomari kuendelea kuitumikia klabu hiyo. Kibwana ambaye ameitumikia Yanga kwa miaka mitatu tangu ametua akitokea Mtibwa Sugar, ataendelea kubaki zaidi ndani ya timu hiyo ya Jangwani kwa miaka mingine miwili. Beki huyo ambaye ametwaa mataji mawili ya Ligi Kuu Bara…

Read More

Kikosi cha Uholanzi – DW – 30.05.2024

Kocha Ronald Koeman amemjumuisha kiungo wa kati wa Barcelona Frenkie de Jong katika kikosi chake cha mwisho cha wachezaji 26 kwa ajili ya mashindano ya Euro 2024 licha ya kwamba bado anauguza jeraha la kifundo cha mguu. Koeman hata hivyo amemuacha nje beki wa kushoto Ian Maatsen, ambaye amekuwa na mchango mkubwa katika maendeleo ya…

Read More

Taifa Stars Stars kuvuna Sh9.9 bilioni

MICHUANO ya Fainali za Ubingwa kwa Mataifa ya Afrika  kwa wachezaji wa ndani (CHAN) 2024 inaanza leo, Agosti 2, 2025 kwa mechi ya ufunguzi kati ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya Burkina Faso itakaochezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Kuanza kwa michuano hiyo kunaifanya Stars mezani kuwa na kitita cha Sh9 bilioni…

Read More