Wadau wa ELIMU wajadili mustakabali wa elimu ya kujitegemea

CHUO Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) kimewakutanisha wadau mbalimbali wa elimu kutoka ndani na nje ya Tanzania katika kongamano linalolenga kujadili dhana ya elimu ya kujitegemea na umuhimu wake katika maendeleo ya jamii. Kongamano hilo linalofanyika chuoni hapo kwa kushirikiana na Chuo cha VIA cha Denmark, limefunguliwa rasmi leo na Naibu Katibu Mkuu wa…

Read More

Mtoto mbaroni akidaiwa kumwekea sumu mama yake

Morogoro. Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limemkamata John Kandole (11), mwanafunzi wa darasa la saba katika Shule ya Msingi Lwemba kwa tukio la kujaribu kumuua mama yake mzazi aitwaye Regina Kalinga (44) kwa kuweka sumu kwenye chakula huku chanzo kikidaiwa kuwa ni tabia ya mama yake huyo kupenda kumtuma tuma na kumnyima muda wa…

Read More

Simu ya Popat ilivyomrudisha Adam Adam Azam FC

STRAIKA Adam Adam tayari ametua Azam FC kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano mbalimbali ya Ligi Kuu Bara, Ligi ya Mabingwa Afrika, Kombe la Shirikisho la FA na mengine itakayoshiriki klabu hiyo tajiri zaidi Tanzania. Kama kuna mambo ambayo alitamani yatokee na sasa anachekelea, ni kurudi Azam baada ya kuishia timu ya vijana ya…

Read More

Nondo za CUF kwa elimu ya Tanzania

Dar es Salaam. Wadau wa elimu nchini wamechambua ilani ya uchaguzi ya Chama cha Wananchi (CUF) ya Uchaguzi Mkuu wa 2025 inayotoa dira ya kina juu ya sekta ya elimu nchini Tanzania wakisema ina mambo mazuri, tatizo ni ahadi kutotekelezwa. Ilani hiyo inaeleza mikakati ya kuhakikisha elimu bora, jumuishi na yenye tija kwa Watanzania wote…

Read More

Trilioni 4.42 kujenga vituo 75 vya kupoza umeme

  Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia wizara ya nishati kupitia Shirika la Umeme nchini (TANESCO) kujenga vituo 75 vya kupokea, kupoza na kusambaza umeme kwa gharama ya Sh 4.42 trilioni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Morogoro… (endelea). Kapinga amesema hayo jana Jumapili wakati wa ziara ya Rais Samia katika kituo cha…

Read More

Tabora United yaipeleka JKT Tanzania CCM Kirumba

Siku tano baada ya Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Tabora kufungiwa, uongozi wa Tabora United umeuchagua Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza kwa mechi yake ya nyumbani dhidi ya JKT Tanzania, Machi 7, 2025. Taarifa ya Tabora United imefafanua kuwa timu hiyo inahamia CCM Kirumba huku uongozi wake ukiendelea na juhudi za kuuboresha Uwanja wa Ali…

Read More