Semaji laingia na vazi la Kimasai
KAMA ulikuwa unawatafuta Wamasai mtaani na huwaoni, basi habari njema ni kwamba wameibukia Simba Day, baada ya meneja wa habari na mawasiliano wa klabu hiyo, Ahmed Ally kuibuka na kundi kubwa kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam.