Sababu uchaguzi TLS kukosa ‘hamasa’
Dar es Salaam. Wakati Kamati ya Uchaguzi ya Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) ikiongeza muda wa siku saba kutoa nafasi kwa wanachama zaidi kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama hicho, baadhi ya mawakili wameeleza sababu ya uchaguzi huo kudorora ikiwamo mabadiliko ya sheria ya chama hicho. Sababu nyingine imetajwa kuwa ni kuchoshwa…