Zitto aahidi kupigania meli mpya, maisha mapya Kigoma

Kigoma. Mgombea ubunge wa Kigoma Mjini kupitia chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema kuwa iwapo wananchi wa mji huo watamrudisha tena bungeni, atahakikisha mradi mkubwa wa ujenzi wa meli na chelezo wenye thamani ya zaidi ya Sh600 bilioni unakamilika kwa wakati na kwa ubora unaostahili. Akihutubia maelfu ya wananchi leo, Jumamosi, Septemba 20, 2025, katika…

Read More

TFF yaufungia Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limeufungia Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi uliopo Tabora kutumika kwa michezo ya Ligi Kuu Bara kutokana na kukosa vigezo vya kikanuni na sheria za mpira wa miguu. Taarifa iliyotolewa na TFF leo Septemba 20, 2025, imeeleza kuwa miundombinu ya uwanja huo haikidhi matakwa ya Kanuni kama ilivyoainishwa kwenye…

Read More

UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI NI FURSA MPYA YA VIJANA KUINUKA

Na Pamela Mollel, Arusha. Vijana nchini wametakiwa kuchangamkia fursa ya uwekezaji katika ufugaji wa kuku wa kienyeji, kwa kuwa ni biashara yenye faida kubwa na soko pana linalokua kila siku. Akizungumza na vijana waliomtembelea katika soko la Morombo jijini Arusha, mjasiriamali maarufu wa kuku, Mudy Musa, alisema ufugaji wa kuku wa kienyeji ni miongoni mwa…

Read More