MALIASILI SC YAIBURUZA TAMISEMI 2-1

……. Na Sixmund Begashe Timu ya Wanawake ya mchezo wa kuvuta kamba ya MNRT Sports Club ya Wizara ya Maliasili na Utalii, imeiburuza vikali 2-1 timu ya TAMISEMI wanawake katika mchezo wa marudiano uliofanyika leo Mkoani Singida kwenye mashindano ya Maadhimisho ya Siku ya wafanyakazi Duniani (MEI MOSI 2025). Wakizungumzia michezo hiyo inayoshika kasi Mjini…

Read More

DK.SAMIA AAHIDI SERIKALI KUONGEZA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA ZA KISASA KATIKA UTOAJI HUDUMA

Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Mtwara. MGOMBEA Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM)Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inakwenda kuongeza matumizi ya teknolojia za kisasa ikiwemo akili unde ili kuimarisha ufanisi katika uzalishaji na utoaji huduma ikiwemo kwenye kilimo. Dk.Samia ameyasema hayo leo Septemba 25,2025 alipokuwa akihitimisha mkutano wa kampeni katika Mkoa wa Mtwara baada ya kufanya mikutano…

Read More

RC MALIMA, MOROGORO KUWA KITOVU CHA UTALII

Mkuu wa Mkoa Morogoro Adam Malima amewataka wanahabari kuwa mabalozi wa utalii, kuandika taarifa zinazowavutia watalii kutoka nje na ndani ya nchi. RC Malima ameyasema hayo wakati akifungua Mafunzo kwa wanahabari yaliyoandaliwa na Chama Cha Waandishi wa habari Tanzania (TAMPA) kwa kushirikiana na TANAPA ambapo amesema Mkoa wa Morogoro unahifadhi Tatu Kubwa ambazo ni Mikumi,Udzungwa…

Read More

Nafasi ya Kuibuka na Ushindi Ipo Meridianbet Leo

BAADA ya mapumziko ya Kimataifa, hatimaye sasa ligi zimerejea kwa kishindo kikubwa ambapo, Ijumaa ya leo ni nafasi ya wewe kutengeneza mkwanja wa maana. Ingai kwenye akaunti yako na ubashiri sasa. Ligi kuu ya Hispania, LALIGA kutakuwa na mechi moja kali sana ambapo Valencia atakipiga dhidi ya Levante ambao mpaka sasa wapo nafasi ya 19,…

Read More

Unasihi kwa wanafunzi watajwa kuwa suluhisho la ajira

Dar es Salaam. Katika kukabiliana na mdondoko wa wanafunzi shuleni na janga la ajira kwa vijana nchini, unasihi kwa wanafunzi umetajwa kuwa suluhisho la kuwaelekeza kwenye ndoto za maisha yao. Hoja hiyo imekuja wakati Serikali ikiboresha mitalaa na Sera ya Elimu ikilenga kuwapa nafasi wanafunzi nafasi ya kuchangua fani za kusomea zitakazowawezesha kujiajiri au kuajiriwa….

Read More

Yanga yaichakaza Prisons, Bacca afunga la mkono

YANGA leo imeendelea wimbi la ushindi baada ya kuifumua Tanzania Prisons kwa mabao 4-0 katika mechi ya Ligi Kuu Bara, huku Prince Dube akitupia bao moja na kumfanya afikishe matano kupitia mechi tatu mfululizo zikiwamo mbili za ligi na mojua ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Watetezi hao walipata ushindi kwenye Uwanja wa KMC Complex, ikiwa…

Read More

UMOJA NA MSHIKAMANO VYATAWALA HOTUBA ZA VIONGOZI MKUTANO WA SADC

::::::: Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umehitimishwa jijini Antananarivo Agosti 17, 2025, huku viongozi hao wakihimizana, umoja, mshikamano na ushirikiano kama njia ya msingi ya kujikwamua kiuchumi na kukabiliana na changamoto zinazoibuka kila siku ulimwenguni. Katika mkutano huo, Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan aliwakilishwa na Makamu wa…

Read More

Equity Group yapongezwa kwa kuwaleta pamoja wawekezaji

Dar es Salaam, 19 Mei 2025 – Equity Group, chini ya Mpango wa Afrika wa Urejeshaji na Uhimilivu (ARRP), inaongoza msafara wa kimataifa wa biashara na uwekezaji katika Afrika Mashariki, ukiaanzia nchini Tanzania (Dar es Salaam na Zanzibar) na kuendelea Uganda (Kampala). Msafara huu unalenga kuangazia fursa za kiuchumi na kukuza ushirikiano wa kikanda.  …

Read More