Mlandege yaivaa Azam bila kupiga tizi

JANA Ijumaa, ilipigwa mechi moja ya Kombe la Mapinduzi 2026 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Unguja mabingwa watetezi Mlandege dhidi ya Azam, lakini kuna kitu kilitokea kabla ya mechi hiyo iliyoanza saa 2:15 usiku. Mlandege iliyopoteza mechi mbili za kwanza ilifungwa 3-1 na Singida Black Stars kisha ikalamba 1-0 na URA, imekuwa ya kwanza…

Read More

BENKI YA TCB YATANGAZA FAIDA YA SH. BILIONI 19.27

  Mwandishi wetu, DAR ES SALAAM  Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Commercial Bank (TCB), Adam Mihayo amesema kuwa Benki hiyo imeshuhudia ongezeko kubwa la mapato ya jumla ya Shilingi Bilioni 19.27 sawa na asilimia 11.19 hadi kufika  Bilioni 19. 21, kwa mwaka 2023. ikilinganishwa na mwaka 2022 ambapo mapato yalikuwa Bilioni 172.83 sawa na asilimia 1.72….

Read More

TBS YATOA ELIMU YA VIWANGO KWENYE MAONESHO TIMEXPO

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kutoa elimu ya viwango kwa wafanyabiashara,wenye viwanda na wananchi kwa ujumla katika Maonesho ya Wazalishaji wa Bidhaa za Viwanda (TIMEXPO) yanayofanyika katika viwanja vya sabasaba Jjijini Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 01,2024 Jijini Dar es salaam kwenye banda lao,…

Read More

Tanzania matumaini kibao Kombe la Dunia Futsal

TIMU ya Taifa ya Tanzania ya Soka Wanawake ya Futsal, imewasili nchini Ufilipino huku ikiwa na matumaini makubwa ya kufanya vizuri kwenye mashindano ya Kombe la Dunia la Futsal yatakayoanza kesho Ijumaa Novemba 21, 2025. Mashindano hayo yatakayofanyika nchini Ufilipino yakitarajiwa kufikia tamati Desemba 7, 2025, yanajumuisha timu 16, huku Tanzania ikipangwa kundi C na…

Read More