Yanga yazindua kitabu cha historia

YANGA SC, jana usiku ilizindua kitabu kinachoonyesha historia nzima ya klabu hiyo tangu kuanzishwa kwake kilichopewa jina la Klabu Yetu, Historia Yetu. Uzinduzi huo umefanyika jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa michezo sambamba na viongozi wa Serikali huku mgeni rasmi akiwa Naibu Waziri Mkuu, Dkt. Dotto Biteko. Akizungumza katika uzinduzi wa…

Read More

Mashabiki wataja kete ya ubingwa Bara

WAKATI mashabiki wa Yanga wakichekelea matokeo ya sare waliyoipata watani zao, Simba dhidi ya Azam, mashabiki wa Wekundu wamesema suala la ubingwa bado wakitaja michezo ya kuamua hatima ya taji msimu huu. Jana Simba ikiwa wenyeji wa Azam waliambulia sare ya mabao 2-2 na kufanya Yanga kuendelea kubaki kileleni kwa pointi 55 licha ya kutangulia…

Read More

Ongezeko la talaka linayumbisha muhimili wa familia– 5

Dar es Salaam. Kama ambavyo simulizi hii imeonyesha namna ambavyo wanawake wanalalamika kuachwa au kutelekezwa ili wadai talaka. Aina ya talaka iitwayo kwa dini ya Kiislamu Khului, ambayo mwanamke anarudisha gharama zilizolipwa na mwanaume wakati wanaoana ili apewe talaka (ajigomboe) zimeongezeka. Kwa mujibu wa idadi ya talaka zilizotolewa kwenye maadhimisho ya wiki ya sheria visiwani…

Read More

Sababu wamachinga Simu2000 kumfukuza DC Ubungo

Dar es Salaam. Miongoni mwa wamachinga wakieleza sababu ya kumkataa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko na kufanya mgomo mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila. Miongoni mwa sababu hizo ni kile walichodai hawana imani naye katika kushughulikia changamoto zao. Mzizi wa maandamano na mgomo wa wafanyabiashara katika soko hilo…

Read More

MBUNGE UMMY MWALIMU ASISITIZA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM 2020-2025 KATIKA MKUTANO WA MWANZANGE – MWANAHARAKATI MZALENDO

Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini, Mhe. Ummy Mwalimu, tarehe 8 Septemba 2024 alifanya mkutano wa hadhara katika Kata ya Mwanzange, akielezea utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya 2020-2025. Akiongozana na Diwani wa Kata hiyo, Mhe. Bakari Ali Mtavya, Mbunge Ummy alitoa taarifa juu ya hatua zilizochukuliwa kuhakikisha ahadi za…

Read More