Vifo vyafikia 42 ajali ya Same
Moshi. Idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na ajali ya kugongana uso kwa uso kwa magari mawili katika Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro, imeongezeka na kufikia 42. Majeruhi wawili wa ajali hiyo bado wanaendelea kupata matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC, baada ya wengine 24 kuruhusiwa. Ajali hiyo ilitokea Juni 28, 2025, katika eneo…