Diarra dhidi ya Lakred | Mwanaspoti

WAKATI homa ya pambano la Ligi Kuu Bara kati ya vinara wa ligi, Yanga dhidi ya Simba likizidi kupanda kutakuwa na vita nyingine mpya kwenye eneo la makipa wa timu hizo mbili. Hapana shaka Yanga golini nafasi kubwa itakuwa kwa kipa namba moja, Djigui Diarra ambaye sio mgeni wa mechi hizo akicheza mechi yake ya…

Read More

GLORY AFUNGA KAMPENI KWA AHADI ZA MAENDELEO KAWE

………… Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Bi Glory Tausi amefunga rasmi kampeni zake za nyumba kwa nyumba kwa kuzitembelea kata za Makongo na Mabwepande.   Glory ameahidi kushirikiana na mamlaka husika kuhakikisha Barabara kubwa ya Mabwepande inawekwa Lami, na ameahidi marekebisho kwa barabara za ndani kwenye kata ya Makongo na…

Read More

Mapato ya uvuvi yaongezeka Ziwa Tanganyika

Dodoma. Baada ya kuzuiwa kwa muda uvuvi katika Ziwa Tanganyika, Serikali imesema mavuno ya samaki yameongezeka na kufikia tani 38,999.82 katika kipindi cha miezi minne baada ya kufunguliwa, hivyo kuingiza Sh324.85 bilioni. Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Alexander Mnyeti amesema hayo bungeni leo Ijumaa Aprili 25, 2025 alipojibu swali la Mbunge wa Nkasi Kaskazini,…

Read More

Mabasi ya mwendokasi Mbagala yawasili Dar

Idadi hiyo ya mabasi ni sehemu ya yale 250 yatakayotoa huduma katika njia hiyo, ikiwa ni utekelezaji wa awamu ya pili ya mradi huo uliokamilika takribani miaka miwili iliyopita. Mabasi hayo yamewasili kutoka nchini China yalikotengenezwa. Taarifa ambazo Mwananchi limedokezwa ni kwamba mabasi hayo yamewasili hivi karibuni bandarini hapo. Barabara hiyo yenye urefu wa kilomita…

Read More