TMA Stars yawapa ‘thank you’ kocha na wasaidizi wake
Klabu ya TMA Stars FC kupitia kwa Katibu wake Mkuu, Mbwana Hamad Mbwana umetangaza kusitisha mkataba na aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo Habibu Kondo pamoja na wasaidizi wake. Kupitia taarifa iliyotolewa na klabu hiyo imesema sababu za kusitisha mikataba yao ni kutokana na mwenendo mbaya wa timu hiyo inayoshiriki Ligi ya Championship. “Klabu ya…