WIZARA YA FEDHA YASHAURIWA KUWA NA MPANGO ENDELEVU WA UTOAJI ELIMU YA FEDHA
NA: JOSEPHINE MAJULA, WF, TABORA Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, mkoani Tabora, Bw. Seleman Mohamed Pandawe, ameishauri Wizara ya Fedha kuwa na mpango endelevu na wa muda mrefu wa utoaji elimu ya fedha kwa wananchi kwa kuwa elimu hiyo ni muhimu na ina mchango katika ukuaji wa uchumi wa mtu mmoja mmoja na…