Jinsi mtuhumiwa mauaji ya Nyanza alivyonaswa
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema kuwa limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wawili wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya Athumani Nyanza, ambaye mwili wake ulipatikana umefukiwa kwenye shimo karibu na makazi yake, Mtaa wa Kimya Kimya, Chanika jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa za awali, Nyanza anadaiwa kuuawa na…