
Bobi Wine aruhusiwa kutoka hospitalini baada ya kujeruhiwa – DW – 04.09.2024
Awali, Chama cha Bobi Wine cha National Unity Platform, NUP, kilisema mwanasiasa huyo mwenye umri wa miaka 42, ambaye jina lake halisi ni Robert Kyagulanyi Sentamu, alipigwa risasi mguuni na polisi na kueleza kuwa ni “jaribio jingine la kumuua kiongozi huyo wa chama.” Lakini NUP baadaye ilisema Wine alipigwa na bomu la machozi na alipelekwa…