Waziri Makamba awaasa Marekani kuliishi Azimio la Uhuru

Katika kusherehekea maadhimisho ya miaka 248 ya Uhuru wa Marekani, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba (Mb.), ameishukuru na kuipongeza Marekani kwa mchango wake katika maendeleo ya Tanzania huku akiwasihi kukumbuka na kuenzi yale waliyoazimia Julai 4, 1776. Waziri Makamba amezungumza hayo akihutubia katika hafla hiyo iliyofanyika katika…

Read More

Kiu na kufa na njaa, Wagazans wanakabiliwa na uhamishaji wa ‘kibinadamu’; UNICEF – Maswala ya Ulimwenguni

Maendeleo hayo yalifuatia ripoti kwamba jeshi la Israeli limepanda ardhi yake kukera katika Jiji la Gaza, na kuwaamuru wakaazi waondoke katika eneo hilo. Akizungumza kutoka kusini mwa enclave, UNICEFTess Ingram alielezea uhamishaji wa nguvu wa familia kama “tishio mbaya kwa walio hatarini zaidi”. “Ni ubinadamu kutarajia karibu nusu ya watoto milioni walioshambuliwa na kuhuzunika kwa…

Read More

Dkt Biteko awataka wazazi kupeleka watoto shule.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe mkoani Geita, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewahimiza wazazi na walezi kuhakikisha watoto wao wanapata elimu kwa kuwa ndio nguzo ya maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Amesema hayo Juni 7, 2024 wakati akihutubia mkutano wa wananchi katika Shule ya Msingi Bufanka…

Read More

DKT. MWAMBA ATETA NA BALOZI WA JAPAN

Na. Josephine Majura WF, Dodoma Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Mhe. Yoichi Mikami, kilichofanyika jijini Dodoma, ambapo walijadili namna ya kuimarisha ushirikiano kati ya nchi hizo mbili katika nyanja mbalimbali za kiuchumi na kijamii.  Dkt. Mwamba, aliishukuru Serikali ya Japan kwa…

Read More

Je, Trump kuwashughulikia mahasimu wake kisiasa?

Dodoma. Kurejea kwa Donald Trump madarakani kunahofiwa kuwa mwanzo wa kuwashughulikia mahasimu wake kisiasa kutokana na kauli zake za kuwashutumu, ikiwamo kutaka washtakiwe na kufungwa jela. Miongoni mwa mahasimu wake wa kisiasa ambao amekuwa akiwatolea kauli kali baada ya kushindwa uchaguzi mwaka 2020 ni Rais Joe Biden, Makamu wa Rais Kamala Harris, Rais mstaafu Barack…

Read More

TANROADS kuweka kambi barabara ya Kiranjeranje-Ruangwa kurejesha mawasiliano

Huenda Adha ya usafiri na usafirishaji bidhaa inayowakabili wananchi wanaotumia barabara ya Kiranjeranje kwenda Ruangwa ikafikia tamati baada ya Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) mkoa wa Lindi kutangaza kutia kambi eneo hilo ili kuhakikisha njia inapitika. kambi hiyo inalenga kuondoa taabu wanayokutana nayo wananchi kwa sasa katika usafirishaji wa bidhaa wanazozalisha na hata wasizozalisha kutokana…

Read More