‘Ulimwengu wa Vita Kulia kwa Amani’ anasema mkuu wa UN kama viongozi wanavyokusanyika New York – Masuala ya Ulimwenguni

“Maisha yanavutwa kando, utoto umezimwa, na hadhi ya msingi ya kibinadamu imetupwa, huku kukiwa na ukatili na uharibifu wa vita,“Bwana Guterres alisema katika ujumbe wa siku hiyo.”Wanachotaka ni amani.“ Alisisitiza kwamba mzozo leo haujafungwa kwenye uwanja wa vita, na athari zake zinazunguka mipaka, na kuhamishwa, umaskini na kutokuwa na utulivu. “Lazima tunyamaze bunduki. Kumaliza mateso….

Read More

Himid Mao atoboa siri ya ubora wake

KIUNGO wa Azam FC, Himid Mao ametoboa siri ya ubora wake akisema unachangiwa na namna ambavyo anayapokea majukumu kutoka kwa kocha na kuyatimiza inavyotakiwa. Mao amebainisha hayo baada ya kuchaguliwa kuwa mchezaji bora wa mechi ya Kundi A katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 wakati wakitoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Singida Black…

Read More

Msajili awanoa wakuu wa taasisi za umma

  SERIKALI imetoa maagizo tisa kwa watendaji wakuu wa taasisi, mashirika ya umma na wakala wa serikali, kwa lengo la kuongeza ufanisi katika maeneo yao ya kazi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Pwani … (endelea). Maagizo hayo yalitolewa wilayani Kibaha, mkoani Pwani jana Jumatatu tarehe 07 Oktoba 2024; na Katibu Mkuu katika Ofisi ya Rais, Mipango na…

Read More

NAIBU WAZIRI KIHENZILE ATEMBELEA BANDA LA TAA KATIKA MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2025

Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Mwakiposa Kihenzile, ametembelea banda la Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Chinangali Park, jijini Dodoma. Katika ziara hiyo, Mhe. Kihenzile alipokelewa na maafisa wa TAA waliompatia maelezo kuhusu majukumu ya msingi ya Mamlaka hiyo, ikiwemo kusimamia,…

Read More

Bodaboda auawa Arusha, mwili watundikwa mtini

Arusha. Hofu imezidi kutanda katika mtaa wa Olmokea iliyoko kata ya Sinoni baada ya leo tena mwili wa dereva bodaboda aliyefahamika Bosco Massawe ‘Rasta’(43) kukutwa umetundikwa juu ya mti mita chache kutoka nyumba aliyopanga, huku ukiwa na majeraha makubwa. Mwili wa Bosco umekutwa katika hali hiyo, ikiwa imepita siku mbili tangu mwili wa mtoto Mishel…

Read More

RAIS DKT. MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MWENYEKITI WA KAMATI YA ULINZI YA UAE IKULU ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi ya UAE.Mhe.Dr.Ali Rashid Alnuaimi alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 19-6-2024.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na…

Read More

Simba yapewa mwamuzi mwenye rekodi zake

KATIKA hesabu za Simba kuhakikisha inachanga vizuri karata zake na kufuzu nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, inatakiwa kuwa makini na mwamuzi wa mchezo wao wa marudiano kutokana na rekodi zake zilivyo. Simba ambayo Aprili 9 mwaka huu itakuwa mwenyeji wa Al Masry katika mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya…

Read More