Kwa Wahehe sio mbwa tu, hata panya nao wanalika

Iringa. Wakazi wa Kijiji cha Ndengisivili wilayani Kilolo mkoani Iringa, wamesema ulaji wa panya umekuwa silaha kubwa katika kupambana na uharibifu wa mazao yao hasa mahindi shambani. Wamesema mbali na kuokoa mazao, nyama ya panya ina madini muhimu kwenye mwili wa binadamu jambo lililowafanya waipende nyama hiyo. Kati ya utani unaowatambulisha zaidi wakazi wa Mkoa…

Read More

Straika akoleza vita Namungo | Mwanaspoti

ALIYEKUWA mshambuliaji wa timu ya vijana ya Simba, Rashid Mchelenga amekamilisha dili la kujiunga na Namungo FC kwa mkataba wa miaka miwili, akikoleza vita mpya ya eneo hilo ndani ya kikosi hicho. Mchelenga anaungana na washambuliaji wengine wapya na kuongeza vita mpya katika eneo hilo ambao ni Andrew Chamungu aliyetokea Songea United na mfungaji bora…

Read More

Hatuna huruma, tunabeba vyote-Dk. Biteko

*Tunataka tuoneshe Afrika na Dunia Tanzania ni Nchi ya Demokrasia Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema kuwa CCM chini ya uongozi wa Rais Samia imejipanga kuifanya Geita kuwa na…

Read More

WAREMBO MISS TRAVEL WORLD WATEMBELEA MIRERANI KWENYE TANZANITE

Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Fakii Raphael Lulandala (watatu kushoto) akizungumza juu ya ziara ya warembo wa Miss Travel World 2024 walipotembelea mji mdogo wa Mirerani. Na Mwandishi wetu, Mirerani WANYANGE watano watakaowania umalkia wa dunia wa Miss Travel World 2024 wametembela ndani ya ukuta unaozunguka migodi ya madini ya Tanzanite mji mdogo…

Read More

ACT- Wazalendo waachiwa wizara nne SUK

Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ameziacha wazi wizara nne kati 20 alizoziunda na kuteua mawaziri wake kwa ajili ya ACT Wazalendo endapo chama hicho kitaamua kuingia katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK). Chama hicho kimekidhi vigezo vya kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwa kushirikiana na Chama cha Mapinduzi (CCM) na sasa kitakuwa…

Read More

Wagombea wanavyotembelea nyota ya Maalim Seif kwenye kampeni

Dar es Salaam. Zaidi ya miaka minne tangu kifo chake, jina la Maalim Seif Sharif Hamad bado linaendelea kutikisa mijadala ya kisiasa nchini, safari hii likiibuka kila mara kwenye kampeni zinazoendelea. Maalim Seif alifariki dunia Februari 17, 2021 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam, alikokuwa amelazwa kwa siku kadhaa akipatiwa matibabu….

Read More

MAHUBIRI: Tujifunze kusamehe watu wote bila masharti

Katika maisha ya kila siku, tunaumia kwa sababu ya matendo ya wengine kwa maneno ya kuumiza, vitendo vya hila, usaliti, au hata dhuluma. Lakini Biblia inatufundisha kwamba, kama Wakristo, tunapaswa kusamehe, siyo kwa masharti au kwa kubadilishana na kitu, bali kusamehe kutoka moyoni. Mfano mkuu wa kusamehe bila masharti unaonekana wazi katika maisha ya Yusufu,…

Read More

Bashe apongeza kazi nzuri za ASA Nzega

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe (Mb) ameridhishwa na kazi nzuri inayofanywa na Wakala wa Mbegu za Kilimo (ASA) kufuatia ziara yake ya ukaguzi wa shamba la mbegu Septemba 16, 2024 lililopo Undomo, Wilaya ya Nzega. Shamba hilo lina ukubwa wa hekta 802.47 ambapo hekta 602 zimetumika kwa ajili ya uzalishaji…

Read More