WASIRA AKERWA NA WANAOTUKANA MITANDAONI KWA KISINGIZIO CHA UHURU WA KUTOA MAONI
Na Mwandishi Wetu,Songea MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema uwepo wa demokrasia na uhuru wa kutoa maoni sio ruhusa ya kuvunja sheria, kutukana watu na kwamba anayefanya hivyo anastahili kuchukuliwa hatua ikiwemo kukamatwa na kuhojiwa polisi. Amesema lengo la uhuru ni kutoa maoni na kufuata sheria ambazo zimewekwa kuifanya…