Bodi ya VETA yapongeza ubunifu wa mashine za kusaidia wakulima

Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Profesa William Pallangyo akizungumza na waandishi  wa Habari  kuhusiana na mikakati ya Taasisi hiyo juu ya kupeleka Chuo Kikuu cha Kwanza cha Elimu ya Juu Jijini Tanga wakati alipotembelea la Taasisi hiyo kwenye Maonesho ya Kilimo Kitaifa Nane Nane yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma….

Read More

Elimu ya Amani, Uzalendo na Mazingira Ifundishwe Shuleni: Mgeja – Global Publishers

Mgeni rasmi Comrade Khamis Mgeja akizungumza kwenye mahafali hayo. Shinganga: 20 Oktoba 2025, Mwenyekiti Mstaafu wa CCM mkoa wa Shinyanga na taasisi ya Tanzania Mzalendo Foundation Bw. Khamis Mgeja ameishauri na kuiomba  wizara ya elimu nchini ifikirie kuona umuhimu namna gani ya kuweza kuanzisha masomo ya amani, uzalendo na mazingira mashuleni kuanzia madarasa ya awali…

Read More

Waziri Kombo akutana na Balozi wa Zambia nchini

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amefanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Zambia nchini, Mhe. Mathews Jere kuhusu masuala ya mbalimbali ikiwemo umuhimu wa kuimarisha ushirikiano wa uwili baina ya Tanzania na Zambia. Katika mazungumzo yao, Mhe. Kombo ametumia fursa hiyo kutuma salamu za…

Read More

Vodacom yatangaza washindi wa msimu wa 3 wa Vodacom Digital Accelerator

  VODACOM Tanzania Plc leo imetangaza Wajasiriamali chipukizi (Startup) zilizoibuka vinara wakati wa kuhitimisha msimu wa tatu wa Programu yake ya Vodacom Digital Accelerator ijulikanayo kama Demo Day. Tukio hilo limeshuhudia mafanikio ya kipekee likiwa na washindi saba baada ya kukamilisha mafunzo ya uwezeshaji kwa muda wa miezi mitatu ambapo hatimaye wamepatikana washindi watatu. Anaripoti…

Read More

Benki ya CRDB Yashinda Tuzo ya Dhahabu ya Kimataifa ya Uwekezaji Katika Jamii Kupitia CRDB Bank Marathon

Benki ya CRDB imeshinda tuzo ya dhahabu ya Kimataifa ya Uwekezaji katika Jamii (International CSR Awards 2025) kupitia mbio zake za kimataifa ya CRDB BANK International Marathon. Tuzo hii ya hadhi ya juu imetolewa na CSR Society, shirika huru la kimataifa linalotambua na kuenzi mashirika yenye juhudi za uwajibikaji wa kijamii duniani kote lenye makao…

Read More