Tanzania yaja na sera mpya ya uchumi wa buluu

Dar es Salaam. Ili kuhakikisha sekta ya uchumi wa buluu inagusa maisha ya watu kwa vitendo, Serikali imeanzisha sera mpya ya uchumi wa buluu nchini iliyo chini ya Ofisi ya Makamu wa Rais. Sera hiyo imeanzishwa ili kuhakikisha sekta hiyo mpya ambayo ndiyo uelekeo wa nchi nyingi inaongozwa kwa utaratibu wa kisera na sheria. Hayo…

Read More

Beki Mkongomani anukia Dodoma Jiji

UONGOZI wa Dodoma Jiji umeanza maboresho ya kikosi hicho katika dirisha hili dogo lililofunguliwa rasmi Januari Mosi, ambapo kwa sasa unakaribia kuipata saini ya beki wa kati raia wa DR Congo, Herve Beya Beya, ili kwenda kuongezea nguvu. Beki huyo aliyezaliwa Machi 31, 1999, kwa sasa anaichezea timu ya OC Bukavu Dawa ya DR Congo…

Read More

Nimca kuwatunuku tuzo Mwinyi, Nyerere

Dar es Salaam. Mtandao wa Mabaraza Huru ya Habari Afrika (Nimca) unatarajia kuwatunuku tuzo maalumu marais wastaafu wa Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere na Ali Hassan Mwinyi kwa mchango wao katika kukuza tasnia ya habari kusini mwa Afrika. Tuzo hizo zitatolewa katika mkutano mkuu wa Nimca utakaoanza kesho Julai 14 hadi 17, 2025 jijini Arusha ukitarajiwa…

Read More

Siri historia ya Nyerere na gari la Land Rover

Dar es Salaam. Mwalimu Julius Nyerere, kiongozi wa harakati za ukombozi wa Tanganyika na Rais wa kwanza wa taifa hilo, alikuwa na uhusiano wa kipekee na gari aina ya Land Rover. Historia ya matumizi ya Land Rover na Nyerere inaunganisha si tu juhudi zake binafsi, bali pia mashujaa kama mzee Sugal Mohamed ambao walichangia kwa…

Read More