MKUU WA MKOA WA ARUSHA AKABIDHI PIKIPIKI 50 NA GARI KWA JESHI LA POLISI
Na.Vero Ignatus, Arusha. “Safari ya ulinzi na usalama unampasa kila raia kuanzia ngazi ya kitongoji hadi Taifa. Jukumu la pa hili tusiwaachie vyombo vy a ulinzi na usalama peke yake bali ni la kila Mmoja” Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda ameitaka Jamii ya Arusha kuendelea kumuunga mkono Rais wa Jamhuri…