Upelelezi wakwamisha kesi ya Boni Yai
JOPO la Mawakili linalomtetea Boniface Jacob ‘Boni yai’ aliyekuwa Meya wa Manspaa ya Ubungo linaloongozwa na wakili Peter Kibatala umeitaka upande wa Jamhuri kukamilisha upelelezi wa kesi ya kuchapisha taarifa za uongo inayomkabili ‘Boni yai’. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea). Hayo yamejiri leo tarehe 21 Novemba katika Mahakama ya Hakimu Mkazi…