
Ikijiandaa kuivaa Simba, Fountain Gate yaiangukia Bodi ya Ligi
ZIKIWA zimesalia siku tano kabla ya kucheza dhidi ya Simba, Fountain Gate imeiandikia barua Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kuomba mchezo huo usogezwe mbele. Mchezo huo wa Ligi Kuu Bara, umepangwa kuchezwa Septemba 25, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam ambapo kwa Simba utakuwa wa kwanza msimu huu wakati Fountain Gate…