
Afrika Kusini yasubiri matokeo ya uchaguzi mkuu – DW – 30.05.2024
Matokeo ambayo yanaweza kuwa mabadiliko makubwa ya kisiasa tangu mwisho wa ubaguzi wa rangi. Kulingana na takwimu za tume ya uchaguzi, kufikia sasa asilimia 11.3 ya kura zimeshahesabiwa, na chama cha ANC kimepata asilimia 42.8 ikifuatiwa na chama cha kileberali cha Democratic Alliance kwa asilimia 26.5 ya kura huku chama cha mwanasiasa Julius Malema cha…