Mauzo ya mafuta yaongezeka Januari Zanzibar

Unguja. Imeelezwa kuwa, sherehe za miaka 61 ya Mapinduzi, Zanzibar Januari 2025, zimeongeza mauzo ya mafuta visiwani humo kwa kuingiza lita milioni 28 kutokana na uhitaji. Ofisa mwandamizi wa mafuta na gesi kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati (Zura), Ali Abdalla Ali ametoa kauli hiyo leo, Februari 8, 2025, akisema uingizaji…

Read More

Mpinzani wa Simba CAF kujulikana Qatar

Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limetangaza tarehe ya droo ya robo fainali ya mashindano ya  Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho Afrika kwa timu zilizofuzu hatua hiyo msimu huu ambapo pia limepanga tukio hilo kufanyika Doha, Qatar. Baada ya kumaliza katika nafasi ya kwanza kwenye kundi A, la Kombe la Shirikisho Afrika, Simba inatarajia…

Read More

Bondia aliyefariki Zanzibar kwa kupigwa TKO, azikwa Dar

Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Abassi Mselem, ambaye Novemba 30, 2024 alipigwa ulingoni na kupoteza fahamu kisha kufariki Desemba 1, 2024, amezikwa leo jijini Dar es Salaam. Mselemu amezikwa kwenye makaburi ya Saku yaliyopo Mbagala jijini Dar es salaam baada ya mwili wake kuwasili leo asubuhi ukitokea Zanzibar. Mweka Hazina wa Chama cha Makocha…

Read More

Viongozi wajifunze kuchunga midomo yao

Huku maofisini tuna watu wa kila aina. Wapo wenye makuzi ya kimjinimjini na wanaoyaishi mafunzo ya wazazi wao toka kijijini. Kuna wahuni, wastaarabu, wenye hasira na wapole. Pia, tunao wachapakazi, wavivu, wakweli na wenye husda. Mtu huonekana vizuri jinsi alivyo anapochanganya tabia zilizo kwenye makundi hayo kutegemeana na mtu alipotoka, elimu yake, uzoefu wa kazi…

Read More

Rais Samia anavyopigania kuirejesha Tanga ya viwanda

Na: Dk. Reubeni Lumbagala Mkoa wa Tanga una historia kubwa katika nchi yetu ya Tanzania. Moja ya historia kubwa ni kuwa mkoa uliokuwa na viwanda vingi katika miaka ya 1970 na 1980. Viwanda hivi vilikuwa nyenzo muhimu ya kuchagiza maendeleo ya Tanga kwa kuzingatia mnyororo mkubwa wa thamani uliopo kwenye viwanda.  Ni katika viwanda hivyo…

Read More

Ripoti Kuu ya UN inaendelea katika mazungumzo ya Kupro, inahimiza utekelezaji wa haraka wa hatua za uaminifu – maswala ya ulimwengu

Bwana Guterres alikuwa akizungumza na waandishi wa habari baada ya kumkaribisha kiongozi wa Ugiriki wa Ugiriki Nikos Christodoulides na kiongozi wa Uturuki wa Uturuki Ersin Tatar katika makao makuu ya UN huko New York. “Mazungumzo ya leo yalikuwa ya kujenga. Viongozi wote walikagua maendeleo juu ya mipango sita waliyokubali mnamo Machi ili kujenga uaminifu, “yeye…

Read More