Ushindi wampa jeuri Maximo | Mwanaspoti
KOCHA wa KMC, Márcio Máximo amesema ushindi wa mabao 3-2 walioupata dhidi ya Mlandege katika mechi yao ya kwanza wa mashindano ya Cecafa Kagame ni sehemu ya mchakato wa kukijenga zaidi kikosi hicho. Máximo alieleza alifurahishwa na nidhamu ya wachezaji wake kwa dakika 80 za mwanzo, lakini alikiri dakika 10 za mwisho walipoteza umakini na…