“Tunataka kurudisha maisha yetu,” watoto wa Gaza wanatangaza – maswala ya ulimwengu

“Tunachohitaji sasa ni madaftari, vitabu, na kalamu. Tunataka kurudisha maisha yetu”alisema msichana mmoja mchanga wa Palestina, Sham al-Abd. Sasa anahudhuria Shule ya Msingi ya Pamoja ya Deir al-Balah inayoendeshwa na Wakala wa Wakimbizi wa UN (Unrwa). Licha ya fanicha ya zamani na michoro chache ambazo zinaangaza kuta za darasani kwenye shule iliyotembelewa na mwandishi wetu…

Read More

Siku 39 Ramovic alivyoibadili Yanga

Sead Ramovic alitambulishwa kuwa Kocha Mkuu wa Yanga ikiwa ni muda mchache baada ya klabu hiyo kutangaza kuachana na Miguel Gamondi. Ramovic ambaye ametua Yanga akitokea TS Galaxy ya Afrika Kusini, leo Desemba 24, 2024 ametimiza siku 39 tangu utambulisho wake huo ufanyike huku akifanikiwa kuiongoza timu hiyo kucheza mechi sita za kimashindano. Katika mechi…

Read More

Tanzania Prisons, Fountain Gate mwisho wa ubishi

KITENDAWILI cha kujua ni timu gani kati ya maafande wa Tanzania Prisons na Fountain Gate cha kubakia Ligi Kuu Bara msimu ujao, kitateguliwa leo saa 10:00 jioni, wakati miamba hiyo itakapochuana kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Mechi hiyo ni ya marudiano ya play-offs, ili kusaka nafasi ya kubakia baada ya ile ya kwanza iliyopigwa…

Read More

Moses Phiri amalizana na Power Dynamos

ALIYEKUWA mshambuliaji wa Simba Mzambia, Moses Phiri amejiunga na Power Dynamos FC ya Zambia kwa mkataba wa miaka miwili. Mshambuliaji huyo alikuwa akiichezea timu hiyo aliyojiunga nayo kwa mkopo Januari 16, mwaka huu akitokea Simba, baada ya kutokuwa na nafasi ya kucheza mara kwa mara katika kikosi cha kwanza hivyo kuamua kutafuta changamoto sehemu nyingine….

Read More

BILIONI 41.628 KUBORESHA SEKTA YA AFYA KATAVI

:::::: Bilioni 41.628 zimetumika katika uboreshaji wa huduma ya Afya mkoani Katavi ambapo zimejenga majengo , ukarabati na ununuzi wa vifaa tiba . Ametabainisha hayo   leo 3 julai  2025 jijini  Dodoma  na mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Hodha Mrindoko wakati akizungumza na waandishi wahabari  katika  kueleza mafanikio ya serikali  ya awamu ya sita inayoongozwa…

Read More