Rita: Bora cheti kiandikwe baba mzazi hajulikani, kuliko jina lisilo asili
Dar es Salaam. Kama una mtoto na hauna uhakika na baba yake halisi au kwa sababu zako hutaki ubini wake utumike kwa mwanao, huna sababu ya kumwandika baba bandia katika cheti cha kuzaliwa. Kwa mujibu wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (Rita), kuandika jina la baba asiye wa asili wa mtoto katika cheti cha…