Ma-DED vinara kulalamikiwa | Mwananchi
Dar es Salaam. Sekretarieti ya Maadili ya Uongozi wa Umma imesema wakurugenzi watendaji wa halmashauri (Ma-DED), watendaji wakuu wa taasisi na mameneja wanaongoza kwa kulalamikiwa na wananchi. Imeelezwa kiwango cha kulalamikiwa kwa makundi hayo ni asilimia 100. Hayo yamebainishwa jijini hapa jana wakati taasisi hiyo, ilipoeleza taarifa yake ya maadili kwa kipindi cha miaka mitano…