JKT Queens yapangwa na TP Mazembe Ligi ya Mabingwa Wanawake
Wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake 2025, JKT Queens, imepangwa Kundi B kwenye mashindano hayo baada ya leo Jumatatu Oktoba 27, 2025 kufanyika droo ya makundi hayo iliyochezeshwa makao makuu ya CAF jijini Cairo, Misri. Mashindano hayo yanatarajiwa kufanyika nchini Misri kuanzia Novemba 8, 2025 hadi Novemba 21, 2025 katika viwanja…