WATAALAM WANAOSIMAMIA UAANDAAJI NA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA SERIKALI WAASWA KUTUMIA KIKAMILIFU MFUMO WA CBMS
Kamishna wa Bajeti, Wizara ya Fedha, Bw. Meshack Anyingisye, akizungumza wakati akifungua Kikao kazi cha Wataalam wa Wizara, Idara zinazojitegemea, Wakala za Serikali na Sekretarieti za Mikoa, katika ukumbi wa Kambarage, Treasury Square, jijini Dodoma, kuhusu Mfumo wa Uandaaji na Usimamizi wa Bajeti (CBMS), ambapo aliwasihi kutumia mafunzo hayo kama fursa katika kubadilisha utendaji katika…