Wawili mbaroni kwa kuvunja vioo vya treni SGR kwa mawe
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi limewakamata na kuwahoji watuhumiwa wawili kwa kosa la kuharibu kwa kuvunja vioo viwili vya treni ya Mwendo Kasi (SGR) kwa kutumia mawe. Tukio hilo limetokea mchana wa Novemba 22, 2024 katika Kijiji cha Manase Wilaya ya Chamwino jijini Dodoma treni hiyo ilipokuwa ikipota ikitokea jijini Dar es Salaam. Kwa…