TANESCO YAGUSA MIOYO YA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

…….. 📌Ni sehemu ya uwajibikaji wake kwa jamii  📌Yatoa misaada mbalimbali kwa vituo vitatu Dar es Salaam. Katika kuendeleza dhamira ya uwajibikaji kwa jamii, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), tarehe 19 Machi 2026, lilifanya ziara ya kutembelea vituo vitatu vya watoto wenye mahitaji maalum jijini Dar es Salaam, na kutoa misaada mbalimbali kwa lengo la…

Read More

Cheza Wild White Whale, Chukua Udhibiti wa Bahari ya Zawadi

MERIDIANBET inakuleta kwenye ulimwengu wa ajabu wa Wild White Whale, mchezo unaokuletea mizunguko ya ushindi bila kikomo. Kila mzunguko ni fursa mpya ya kubadilisha hali yako, na kila mchezaji ana nafasi ya kuwa nahodha wa bahari ya zawadi. Hapa, akili na mikakati yako ndiyo vitu vinavyohitajika. Cheza mizunguko 100 kwa pesa halisi, na Meridianbet inakuongezea…

Read More

TANZANIA YAJIUNGA RASMI NA WORLD BOXING

▫️Hatua kubwa kwa maendeleo ya Ngumi Kimataifa 20-03-2026 – Dar es Salaam. SHIRIKISHO la Ngumi Tanzania (BFT) linapenda kuutaarifu umma na wadau wa mchezo wa ngumi kuwa Tanzania imekuwa rasmi mwanachama wa World Boxing, Shirikisho la Kimataifa la Ngumi linalotambuliwa na Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa (IOC). Uamuzi wa kuipokea Tanzania ulifikiwa katika kikao cha…

Read More

Ofisa wa Polisi jela miaka miwili kwa mauaji

Iringa. Mahakama Kuu Kanda ya Iringa imemhukumu askari wa Jeshi la Polisi, Sajenti Rogers Mmari (F.4987) wa Kituo cha Polisi Ipogolo, kwenda jela kwa miaka miwili baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuua bila kukusudia. Tukio hilo lilitokea Desemba 14, 2024 Mtaa wa Ipogolo, Manispaa ya Iringa ambapo Mshtakiwa huyo alimpiga marehemu Nashoni Kiyeyeu…

Read More

Chadema: Ramadhani ni msingi wa kujenga jamii bora

Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Serengeti kimetuma salamu za pongezi kwa waumini wa Dini ya Kiislamu nchini kufuatia kumalizika kwa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, kikieleza kuwa kipindi hicho ni msingi muhimu wa kujenga jamii bora. Leo Ijumaa Machi 20, 2026, baadhi ya waumini wa madhehebu ya dini…

Read More

Waislamu watakiwa kudumisha utamaduni wa kutenda mema

Geita. Waumini wa dini ya Kiislamu wametakiwa kuendelea kumfanya Mwenyezi Mungu kuwa kimbilio lao kwenye maisha kwa kudumisha matendo mema kama ilivyokuwa wakati wa Ramadhani, ili awajalie kufanikiwa katika haja zao ambazo walimuomba. Rai hiyo imetolewa leo Ijumaa Machi 20, 2026 na Sheikh Dauda Bushumbilo kutoka Taasisi ya Ansari Geita Mjini, wakati wa swala ya…

Read More