
DC CHIRUKILE AZINDUA MAFUNZO YA MAAFA SUMBAWANGA,ASISITIZA UTAYARI MAPEMA
Na Mwandishi wetu- RUKWA Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga na Mwenyekiti wa Kamati ya Usimamizi wa Maafa ya Wilaya, Mhe. Nyakia Ally Chirukile, amezindua rasmi mafunzo ya usimamizi wa maafa kwa wajumbe wa kamati za wilaya hiyo, akisisitiza umuhimu wa kuwa tayari kabla ya majanga kutokea.Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mafunzo hayo, yaliyofanyika tarehe 21…