MAMIA WAJITOKEZA KWENYE IFTAR ILIYOANDALIWA NA DC SIMANJIRO
Na Mwandishi wetu, Mirerani MAMIA ya wakazi wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, wameshiriki Iftari iliyoandaliwa na DC Simanjiro Fakii Raphael Lulandala na kufanyika Mji mdogo wa Mirerani. Iftari hiyo imehusisha watoto yatima, wenye kuishi kwenye mazingira magumu, wajane, viongozi wa madhehebu ya dini, wazee maarufu, wadau wa madini, wakuu wa taasisi na viongozi mbalimbali….