Mauya aukubali mziki wa Singida BS

KIUNGO mkabaji wa Singida Black Stars, Zawadi Mauya  amesema kwa usajili uliofanywa na timu hiyo, anaamini ushindani utakuwa mgumu kuanzia kwa wachezaji wenyewe hadi timu pinzani. Mauya amejiunga na timu hiyo, akitokea Yanga ambayo aliitumikia kwa misimu minne, alisema maisha ya soka ni popote, kikubwa anajipanga kuhakikisha anakuwa msaada katika majukumu yake mapya. “Utofauti ni…

Read More

Mwigulu aongoza  kumuaga ofisa TRA

Dar es Salaam. Mwili wa aliyekuwa mtumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Aman Simbayao aliyefariki dunia kwa kushambuliwa na wananchi wenye hasira eneo la Tegeta kwa Ndevu, jijini Dar es Salaam, umeagwa leo Jumapili Desemba 8, 2024 jijini Dar es Salaam. Shughuli ya kuaga mwili huo imefanyika viwanja vya michezo vya TRA Kurasini kuanzia…

Read More

MAJIMBO KUMI (10) YA MKOA WA DODOMA KUSAMBAZIWA UMEME

-Uwekezaji huo utaigharimu Serikali shilingi bilioni 18 katika kipindi cha miaka miwili-Kaya 4,950 zitanufaika na Mradi huo Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule, leo tarehe 18 Oktoba, 2024 amempokea rasmi, mkandarasi, kampuni ya DERM Group (T) Ltd; kampuni ya ndani, iliyoshinda kandarasi ya Mradi wa Kusambaza Umeme kwenye vitongoji 150 vya majimbo kumi…

Read More

FADLU; Kazi ipo hapa Ligi Kuu Bara 2024/25 ikianza

BAADA ya misimu mitatu ya tabu ambayo Simba wameipitia wakati watani zao wa jadi Yanga wakiwa na shangwe kubwa, msala umekwenda kumuangukia Kocha Fadlu Davids ambaye ana kazi kubwa ya kufanya kuirudisha timu hiyo kwenye kilele cha furaha. Ipo hivi; Simba ambayo misimu minne mfululizo kuanzia 2017-2018 hadi 2020-2021 ilikuwa ikitamba kwa kubeba makombe ya…

Read More

Mandonga: Chakula cha buku hadi tv kila chumba

MEI 12, mwaka huu bondia wa ngumi za kulipwa nchini na mpiga debe wa zamani wa Kituo cha Mabasi Msamvu mjini Morogoro, Karim Mandonga ‘Mtu Kazi’ atakuwa akimaliza adhabu yake. Mandonga atamaliza adhabu hiyo iliyotokana na kusimamishwa kupanda ulingoni na Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC), kufuatia kupokea kipigo cha TKO ya raundi sita…

Read More

Mange, Aslay waburuzwa kortini wadaiwa fidia Sh5 bilioni

Dar es Salaam. Mwanaharakati maarufu katika mitandao ya kijamii aishiye Marekani, Mange Kimambi na nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini Isihaka Nassoro maarufu Aslay, wamefunguliwa kesi ya madai kortini, wakidaiwa fidia ya Sh5 bilioni. Aslay pia anajulikana ka majina ya Dogo Aslay au Dingi Mtoto. Mange ni maarufu kwenye mitandao ya Instagram, X (zamani…

Read More

Bodaboda zinavyoacha simanzi anguko la kiuchumi

Dar es Salaam. “Tangu mume wangu amefariki dunia, maisha yamekuwa magumu, mimi na Watoto wangu kula yetu Mungu ndiye anajua maana hatuna uhakika wa kesho yetu itakavyokua.” Ndivyo alivyoanza kusimulia Leticia Justine (si jina halisi) ambaye ni mama wa watoto wawili ambaye mume wake alifariki dunia mwaka 2020 kwa ajali ya kugongwa na gari akiwa…

Read More