Tanzania inaweza kupata mapato ya dola Bilioni 11.7 kupitia mnyororo wa thamani wa madini
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam | 10 Septemba 2025 Tanzania iko katika hatua ya mageuzi ya viwanda ambayo huenda ikafungua fursa ya mapato ya ziada ya hadi dola bilioni 11.7 kwa mwaka pamoja na kuzalisha ajira zaidi ya 25,000, kwa mujibu wa ripoti iliyowasilishwa katika mkutano wa ngazi ya juu wa CEO Roundtable of…